Tuesday, 22 March 2016

Waziri Nape kurejesha Hadhi ya Muziki wa Dansi nchini

2Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wasanii wa Muziki wa Dansi alipokutana nao jana jijini Dar es Salaam.
3Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa (BASATA) Bw. Godfrey Mungereza akizungumza wakati wa mkutano baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati) na wasanii wa muziki wa Dansi nchini jana jijini Dar es Salaam.
4  Mwenyekiti wa Chama cha Muziki wa Dansi Tanzania (CHAMUDATA) Bw.Juma Ubao Akizungumza wakati wa mkutano baina ya wasanii wa muziki wa Dansi na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati) jana jijini Dar es Salaam.6Mdau wa Muziki wa Dansi nchini Asha Baraka akichangia mada wakati wa mkutano baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (hayupo pichani) na wasanii wa muziki wa Dansi jana jijini Dar es Salaam.
7Mdau wa Muziki wa Dansi nchini ambaye pia ni raia wa Italia Bibi.Maria akichangia mada wakati wa mkutano baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (hayupo pichani) na wasanii wa muziki wa Dansi jana jijini Dar es Salaam.
8Mwanamuziki mkongwe wa Muziki wa Dansi nchini Komandoo Hamza Kalala akichangia mada wakati wa mkutano baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (hayupo pichani) na wasanii wa muziki wa Dansi jana jijini Dar es Salaam.
9Mwanamuziki wa Dansi nchini,Muumini Mwijuma akichangia mada wakati wa mkutano baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (hayupo pichani) na wasanii wa muziki wa Dansi jana jijini Dar es Salaam.
5Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipokea CD yenye nyimbo ya kumsifu Mwl. Nyerere kutoka kwa mwanamuziki nguli Mzee Makassy (mwenye kofia). Katikati ni Katibu Mkuu wa CHAMUDATA Hassan Msumari.
1Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipokea zawadi ya CD yenye Nyimbo za Bendi ya Twanga Pepeta kutoka kwa mmiliki wa Bendi hiyo Bibi. Asha Baraka mara Baada ya kumalizika kwa mkutano baina ya Waziri na wasanii wa muziki wa Dansi nchini jana jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment