
Amesema hadi sasa Hakuna Pingamizi lolote la kisheria lililoletwa mezani kwa ajili ya pingamizi
kisheria la Uchaguzi wa Marudio,amesema Wananchi Wamegubikwa na Ushabiki
bila kufuata kanuni na sheria za Uchaguzi,Uchaguzi utafanyika kwa
mujibu wa sheria na amewataka wananchi kujitokeza kwa amani na utulivu
kuhakikisha wanapata viongozi bora.
No comments:
Post a Comment