Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na waumishi wa Shirika la
Umeme Nchini TANESCO baada ya kuwasili kwenye eneo unapowekwa mtambo
mpya wa kufua umeme mjini Ngara ambao aliweka jiwe la msingi la ujenzi
wake Machi 15, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiweka jiwe la msingi la usimikaji mtambo
mpya wa kufua umeme wa Ngara akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi
15, 2016. Kushoto ni Naibu Waziriwa Nishati na Madini Dkt. Kalemani.

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa kizungumza na wakimbizi wa Burundi walioko
katika kambi ya Lumasi iliyopo wilayni Ngara. Alikuwa katika ziara ya
mkoa wa Kagera Machi 15 2016

Baadhi ya wakimbizi wa Burundi walioko kwenye kambi ya Lumasi iliyopo
wilayani Ngara wakimsikilza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipowahutubia akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2916.

Moja ya mabango ambayo yalibebwa na wananchi wa Ngara katika mkutano
uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Ngara Machi 15, 2016.

Waziri Mkuu Kassim Majliwa akizungumza na Watumishi na Viongozi wa Mkoa
wa Kagera kuhitimisha ziara yake mkoani humo kwenye ukumbi wa
Halmashauri ya wilay ya Ngara Machi 15,

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiagana na viongozi kambi ya wakimbizi wa
Burundi ya Lumasi iliyoko Ngara viongozi wa wilaya na UNHCR baada ya
kuitembelea akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2016.

(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment