Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kwa makini zoezi
la uhakiki wa silaha zake lililokuwa likifanywa na Mkaguzi Msaidizi wa
Polisi Neema Laizer Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Rais amekuwa mtu wa
kwanza kutekeleza agizo la Mkuu wa Mko wa Dar es Salaam Paul Makonda.




Kamanda wa Kanda Maalum ya Mkoa wa
Dar es Salaam Kamishna CP Simon Sirro kulia akimkabidhi Silaha aina
ya Bastola Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli mara baada ya uhakiki uliofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam.




No comments:
Post a Comment