
Rais wa Vietinam, Truong Tan Sang
na Mkewe Mai Thi Hanh wakiwapungia wananchi huku wakiongozwa na Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakati walipoondoka nchini
Machi11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Vietinam, Truong Tan
Sang akiagana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Ndege wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakati alipoondoka nchini Machi
11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Vietinam, Truong Tan
Sang na Mkewe Mai Thi Hanh wakiagana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mpiga picha aliyeambatana na Rais
wa Vietinam katika ziara yake nchini akicheza ngoma kwenye uwanja wa
ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka nchini
kwa Rais wake , Truong Tan Sang, Machi 11, 2016.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment