Semina ya Siku ya Haki za Watumiaji wa Huduma Ulimwenguni
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Ally Simba
akihutubia washiriki wa semina hawapo pichani wakati akifunga semina,
siku ya watumiaji wa huduma Ulimwenguni.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano upande wa
sekta ya Mawasiliano Dkt. Maria Sasabo, akihutubia kwa niaba ya Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano katika ufunguzi wa semina ya siku ya
haki za watumiaji wa huduma Ulimwenguni.
Baadhi
ya washiriki wa semina wakimsikiliza mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano upande wa sekta ya Mawasiliano
Dkt. Maria Sasabo hayupo pichani siku ya watumiaji wa huduma
Ulimwenguni inayoadhimishwa tarehe 15 Machi, ya kila Mwaka.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano upande
wa sekta ya Mawasiliano Dkt. Maria Sasabo (kulia) akizungumza na
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Ally
Simba (kushoto) siku ya watumiaji wa huduma Ulimwenguni.
No comments:
Post a Comment