Na Kalonga Kasati
Mbunge
wa Kawe Halima Mdee na wenzake wanne wamefikishwa mahakama ya Kisutu
jijini Dar es salaam na kusomewa shitaka moja la kumjeruhi katibu Tawala wa mkoa wa Dar es salaam
Halima
Mdee akiwa na mbunge mwenzie Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga Pamoja
na makada wengine watatu wa Chadema wamekana shitaka hilo na wametakiwa
kujidhamini wenyewe kwa kiasi cha Shilingi Milioni mbili kila mmoja.
Mahakama hiyo imewaachia kwa Dhamana baada ya kuweza kujidhamini
No comments:
Post a Comment