
Diamond amefunguka haya kuhusu Ali Kiba
" Kiukweli kabisa mimi sina tatizo na Ali. Sijawahi kugombana naye na ni
mtu tunaheshimiana. Kipindi Ali ndio yuko kwenye harakati za kurudi
kwenye muziki ni watu walitengeza vitu kati yangu na Ali ili kutengeneza
'attention'....... Mimi nilijua kabisa vitu ( ugomvi kati ya
@diamondplatnumz na @officialalikiba ) umetengenezwa kwa iyo
nilivumilia. Labda mwenzangu alishindwa kuvumilia lakini sisi hatujawahi
kugombana " Diamond
Diamond alizungumza hayokatika kipindi cha Clouds360

Diamond pia amekiri kutokuwa na utofauti na Alikiba na kusema amemfahamu
kupitia dada yake Queen Darleen na walishakutana Nairobi wakazungumza
na anamkaribisha kuja kuuza muziki wake kwenye mtandao wa wasafi.com
……..
No comments:
Post a Comment