Friday, 6 January 2017

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea Zahanati ya Madaba iliyopo wilaya ya Songea

wazi-mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Sophia Mgeni ambaye ametoka kujifungua mtoto wa kike Waziri mkuu alitembelea Zahanati ya Madaba iliyopo wilaya ya Songea ilikuweza kuwasikiliza wagonjwa katika zahanati hiyo Waziri mkuu yupo Mkoani Ruvuma kwa ziara ya kukagua shughuli za maendeleo  
wazi-mkuu-1
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wauguzi wa zahanati ya Madaba amewataka waendele na moyo waliokuwa nao wakuwapenda wagonjwa na kuwahudimia kwani serekali inatambua mchango wao wanaoutoa kwa taifa
wazi-mkuu-2
Waziri Mkuu Mkuu Kassim  Majaliwa akiwahutubia wananchi wa madaba amabao waliojitokeza jitokeza kwawingi amabapo waziri mkuu alitumia nafasi hiyo yakuwaelezea juhudi za serekali za kuwasaidia wananchi katika sekta mbali mbali ikiwemo Huduma ya bima ya afya  Waziri mkuu yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi

No comments:

Post a Comment