Meek Mill amchana Nicki Minaj baada ya kumwagana
Muda mfupi baada ya Nicki Minaj kutangaza kupitia Twitter kuwa
ameachana na Meek Mill, rapper huyo amemchana demu wake huyo wa zamani
kwenye Instagram.
Alhamis hii, Meek aliweka picha Instagram ya viatu vyeupe brand ya
Giuseppe Zanotti zenye mistari ya dhahabu na kuandika, “If you walk out
don’t wear these, they wack.”
Viatu alivyoviponda Meek ni vile ambalo Nicki Minaj alivivaa kwenye
video ya wimbo wa mwaka 2013 alioshirikishwa na Ciara, I’m Out.
Wimbo huo una mashairi ya Minaj yanayosema, “You gon’ play me? / On
Instagram, ni**as trying to shade me / But your bitch at home trying to
play me.”
No comments:
Post a Comment