Wednesday, 11 January 2017

Mbunge wa Kilombero ahukumiwa Jela miezi sita

 Image result for petet lijuakali
Mbunge Peter Lijualikali wa CHADEMA pamoja na dereva wake John Bikasa wamehukumiwa miezi 6 jela bila ya faini.
- Wawili hao walikuwa na mashtaka ya kuwashambulia Askari wa Jeshi la Polisi.15941166_898486093587972_4714694261360633580_n.jpg

No comments:

Post a Comment