
Tukio la Uokoaji Mkoani Tabora Mtaa wa Mwene Kanisa la Miti mida ya Saa
8:21 Asubuh Leo Jumatatu Mwanamke 27 Okoa Godfrey amepoteza maisha baada
ya kutumbukia kwenye shimo la Choo - Uokozi yamefanywa na Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Tabora.





No comments:
Post a Comment