Wednesday, 2 November 2016

Mgogoro wazuka mpakani mwa India na Pakistan, 14 wapoteza

Watu 14 wameripotiwa kupoteza maisha na wengine 26 kujeruhiwa kwenye mapigano yaliyotokea mpakani mwa India na Pakistan.
Mgogoro wazuka mpakani mwa India na Pakistan
India imetoa maelezo na kuarifu kushambuliwa na Pakistan kwa kombora lililosababisha watu 8 kufariki na wengine wengi kujeruhiwa.
Pakistan nayo imetoa maelezo na kufahamisha kuuawa kwa watu wao 6 kufuatia mashambulizi ya India.
Utawala wa Islamabad umekemea vikali mashambulizi kupitia ubalozi wa India ulioko nchini humo.
Mgogoro kati ya India na Pakistan umekuwa ukiendelea tangu mwezi Septemba baada ya kundi moja la watu waliojihami kuvamia India na kuwaua wanajeshi 19.
Wataalamu wanadai kwamba mgogoro huo unaweza kusababisha vita vya nyuklia kati ya nchi hizo mbili endapo

No comments:

Post a Comment