
Kabla ya kuanza safari timu hiyo ilipiga selfie hii.
Ndege iliyokuwa imebeba watu 72, ikiwemo timu ya soka ya klabu ya
Chapecoense ya Brazil, imeanguka katika sehemu ya milima nchini Colombia
wakati inakaribia Mji wa Medellin.Maelezo kamili ya ajali hiyo hayajafahamika lakini habari zinasema kwamba kuna 6 watu walionusurika.
Ndege hiyo ya kukodisha iliyokuwa ikitokea Bolivia, ilikuwa na timu ya soka ambayo ilikuwa icheze katika fainali ya Kombe la Amerika ya Kusini dhidi ya timu ya Atletico Nacional ya Medellin. Hivyo, fainali hiyo imeahirishwa

No comments:
Post a Comment