Daktari bingwa wa upasuaji wa
moyo na mishipa ya damu ambaye pia ni Mkurugenzi wa huduma ya Upasuaji
wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Bashir Nyangasa akiongea
jambo na Dkt. Jayme Bennetts ambaye ni bingwa wa upasuaji wa moyo na
mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya
Nchini Australia.
Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa
watoto kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Godwin
Shalau akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu
tatizo la ugonjwa wa moyo kwa watoto katika mkutano wa waandishi wa
Habari . Kulia ni Russell Lee kutoka Taasisi ya Open Heart
International (OHI) ya Nchini Australia.
Daktari bingwa wa upasuaji wa
moyo na mishipa ya damu ambaye pia ni Mkurugenzi wa huduma ya Upasuaji
wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Bashir Nyangasa (katikati)
akimuonyesha takwimu za upasuaji wa wagonjwa wa moyo Dkt. Jayme Bennetts
ambaye ni bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu kutoka Taasisi
ya Open Heart International (OHI) ya Nchini Australia. Kulia ni Russell
Lee kutoka Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya Nchini
Australia.
Daktari bingwa wa upasuaji wa
moyo na mishipa ya damu ambaye pia ni Mkurugenzi wa huduma ya Upasuaji
wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Bashir Nyangasa akiongea na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu kumalizika kwa kambi
maalum ya siku sita ya upasuaji kwa wagonjwa wa moyo iliyofanywa na
taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Open Heart International
(OHI) ya Nchini Australia. Kulia ni Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa
watoto Dk. Godwin Shalau akifuatiwa na Russell Lee kutoka OHI.
Dkt. Jayme Bennetts ambaye ni
bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Open
Heart International (OHI) ya Nchini Australia akiongea na waandishi wa
habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu kambi maalum ya upasuaji kwa
wagonjwa wa moyo iliyomalizika jana ambapo wagonjwa waliofanyiwa
upasuaji ni 17 kati ya hao watoto ni 12 na watu wazima ni watano.
Kushoto ni Bingwa wa magonjwa ya moyo Dkt. Peter Kisenge, akifuatiwa na
Dkt. Benjamin Bierbach ambaye ni bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto,
na kulia ni Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu
Bashir Nyangasa.
No comments:
Post a Comment