Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiongea na Balozi wa Canada
nchini Tanzania Ian Myles ofisini kwake
Balozi Ian Myles na Waziri Ummy
Mwalimu wakifurahia mazungumzo hayo mara baada ya kukutana kwenye ofisi
ya Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto(picha na
Wizara ya Afya)
Waziri Ummy Mwalimu akiongea na Balozi Ian Myles (kushoto),kulia mwa Balozi ni ofisa wa Ubalozi wa Canada Susan Steffen
No comments:
Post a Comment