Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akisalimiana na baadhi
ya walimu wa shule ya sekondari ya Songea Boys wakati wa ziara yake
shuleni hapo ili kuona hali halisi ya wanafunzi wenye mahitaji maalum
Novemba 26, 2016 Mkoani Ruvuma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akizungumza jambo na
baadhi ya Watendaji wa Serikali katika Ofisi ya Shule ya Sekondari ya
Songea Boys alipotembelea kwa lengo la kuangalia vituo na shule
zinazohudumia watu wenye ulemavua Wilayani Songea mkoa wa Ruvuma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akizungumza na baadhi ya
wanafunzi ya shule ya Sekondari ya Songea Boys wakati wa ziara yake
shuleni hapo Novemba 26, 2016
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi (wa tano kutoka kushoto
waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi na
watendaji wa serikali mara baada ya kumaliza ziara yake katika shule ya
Songea Boys Mkoani Ruvuma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akikabidhi vifaa saidizi
(viti mwendo) kwa Mwalimu Mkuu Bw.John Sweka wa Shule ya Msingi ya
Luhira Wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma.
No comments:
Post a Comment