Makamu
wa Rais wa StarTimes Tanzania, Bi. Zuhura Hanif (kushoto), akifanyiwa vipimo na
mfanyakazi wa Maabara ya Muhimbili, Bi. Kibuna Mohammed (kulia) wakati wa zoezi
la kuchangia damu lilioratibiwa na Hospitali hiyo Kitengo cha Dharura. Zoezi
hilo la kuhamasisha wananchi kuchangia damu kwa hiyari lilifanyika eneo la
Karume jijini Dar es Salaam kwa siku mbili (Alhamisi na Ijumaa) mwishoni mwa
wiki.

Mfanyakazi
wa Maabara ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Bi. Kibuna Mohammed (kushoto)
akimfanyia vipimo mmoja ya wakazi wa Dar es Salaam waliojitokeza kwa hiyari
wakati wa zoezi la kuchangia damu lililoendeshwa na Kitengo cha Dharura
hospitalini hapo katika eneo la Karume, Ilala mwishoni mwa wiki.

wa Rais wa StarTimes Tanzania, Bi. Zuhura Hanif (kushoto) akizungumza na Afisa
Uhisiano wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Bi. Neema Mwangomo baada ya
kukabidhi msaada wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya zoezi la kuchangia damu kwa
hiari lililoendeshwa na Kitengo cha Dharura hospitalini hapo katika eneo la
Karume, Ilala mwishoni mwa wiki.

Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Bi.
Zuhura Hanif (kushoto) akizungumza na Afisa Uhisiano wa Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili, Bi. Neema Mwangomo baada ya kukabidhi msaada wa vifaa mbalimbali kwa
ajili ya zoezi la kuchangia damu kwa hiari lililoendeshwa na Kitengo cha
Dharura hospitalini hapo katika eneo la Karume, Ilala mwishoni mwa wiki.

Baadhi
ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani wakifanyiwa vipimo
katika zoezi la kuchangia damu lililoendeshwa na Kitengo cha Dharura cha
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika eneo la Karume, Ilala mwishoni mwa wiki.

Mmoja
wa mkazi wa Dar es Salaam akipimwa presha kabla ya kushiriki zoezi la
kujitolea damu kwa hiari wakati wa zoezi la kuchangia damu
lililoendeshwa na Kitengo cha Dharura cha Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili katika eneo la Karume, Ilala mwishoni mwa wiki.
Mmoja
wa mkazi wa Dar es Salaam akishiriki zoezi la kujitolea damu kwa hiari
wakati wa zoezi la kuchangia damu lililoendeshwa na Kitengo cha Dharura
cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika eneo la Karume, Ilala
mwishoni mwa wiki.
Na Kalonga Kasati
Hospitali
ya Taifa ya Muhimbili kupitia kitengo cha Dharura Wametoa Rai kwa
watanzania kujitolea kwa Hiyari kuchangia damu ili kuokoa maisha ya
wagonjwa Wanaopokelewa hospitalini hapo.
Akizungumza
wakati wa zoezi la uchangiaji damu lililofanyika kwa siku mbili
mwishoni mwa wiki katika eneo la Karume jijini Dar es Salaam, Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Lawrence
Museru amebainisha kuwa zoezi hilo ni muhimu sana kwani litasaidia
kuokoa maisha ya
Wagonjwa wenye uhitaji huo wanaopokelewa hospitalini hapo kama vile waliopata ajali, wakina mama wajawazito na watoto.

“Hospitali
ya Taifa Muhimbili inahitaji wastani wa chupa za damu 100 lakini Tunafanikiwa kupata wastani wa chupa 40 hivyo kuwepo na upungufu wa
chupa 60 kila siku. Hali hii inapelekea kuhudumia
Wagonjwa wenye uhitaji wa dharura tu huku wengine wakisubiri.” Alisema Profesa Maseru

“Wataalamu
wananiambia kuwa kwa kawaida, damu inaweza kuhifadhiwa kwa Muda wa
takribani mwezi mzima kabla ya muda wake wa kutumika kwisha, na kutokana
na uhifadhi wa damu kwa muda mfupi ndiyo maana tunasisitiza Umuhimu wa
watu kuchangia mara kwa mara. Kitaalamu mwanamume anaweza kuchangia
mara nne kwa mwaka na mwanamke mara tatu kwa mwaka.” Aliongezea Profesa
Maseru
“Katika
wakati wa kutoa huduma ya tiba ya dharura, haswa kwa wagonjwa wa Ajali,
watoto na wamama wajawazito, upatikanaji wa huduma ya Ambulance na
damu kwa wakati huongeza nafasi ya
kuishi kwa wahitaji kwa kiasi kikubwa mno na huduma hizi huokoa maisha Ya mamilioni ya wagonjwa kila mwaka duniani kote,” alisema na kumalizia,

“Natoa
rai kwa wakazi wa Dar es slaaam na Watanzania wote kwa ujumla kujenga Utamaduni wa kuchangia damu kwa hiari mara kwa mara ili nchi iwe na
akiba ya damu ya kutosha, kwani asilimia moja ya Watanzania wakiamua
kuwa wachangiaji damu wa kujirudia Mpango wa Taifa wa Damu Salama
utaweza kukidhi mahitaji ya damu nchini.”
Kwa
upande wake Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Bi. Zuhura Hanif,
kampuni inayojishughulisha na uuzaji na usambazaji wa ving’amuzi kwa
ajili ya Matangazo ya dijitali ambao walidhamini zoezi hilo amesema kuwa
hii ni mara ya pili wao kudhamini zoezi hilo kutokana
na umuhimu wake katika kuokoa maisha ya watanzania wote kwa ujumla.

“Hakuna
asiyefahamu katika maisha yetu yanayotuzunguka ajali zimekuwa nyingi
zinazopelekea watu kupoteza maisha maelefu kubaki mejeruhi wenye uhitaji
mkubwa wa damu ili kupata matibabu. Kama
tunafuatilia vyombo vya habari basi tutakuwa tunasikia ni mara ngapi kwa Wiki ajali zinatokea barabarani na kuacha majeruhi wengi. Kwa upande wa akina Mama wajawazito wanahitaji damu kwa kiasi kikubwa hasa baada ya kujifungua.

Hatuwezi kukaa pembeni na kuwatizama wakikosa msaada wakati uwezo huo Tunao.” Aliongezea Bi. Hanif “Tumejisikia
faraja sana kuwa wamojawapo wa wadau walioshiriki kufanikisha zeozi
hili na tunaahidi kuendelea kushirikiana na Muhimbili katika
kuwahamasisha watanzania wajitokeze zaidi.
Kwa mujibu wa wataalamu tunaweza kujitolea damu mpaka mara nne ndani ya mwaka, nina
uhakika kila mtanzania akifanya hivyo basi benki yetu ya damu itajaa na tutaweza hata kusaidia wengine wan chi za jirani wenye uhitaji.” Alimalizia Makamu wa Rais kutoka kampuni ya StarTimes Tanzania.

Shida ya maji jiji la Dar es salaam kuwa historia
Mafundi wakikarabati bomba kuu la kusambaza maji toka Ruvu juu katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji la Dar es Salaam na maeneo jirani. |
No comments:
Post a Comment