Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama (watatu kulia) akiongoza wanawake kufanya mazoezi
wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake
katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Bibi. Sihaba
Nkinga
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga (katikati)
akifanya mazoezi ya kukimbia wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea
kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa Baraza la Michezo ambaye pia ni Mkuu wa
Wilaya ya Rungwe Bibi. Zainabu Mbussi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama akiongea na wanawake (hawapo pichani) walioudhuria
tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika
viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama akirusha mpira kuashiria ufunguzi wa mchezo wa
mpira wa pete wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku
ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam. Anayezuia
mpira ni Mjumbe wa Baraza la Michezo ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya
Rungwe Bibi. Zainabu Mbussi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama (wapili kushoto) akipata maelekezo kuhusu michezo
mbalimbali iliyoandaliwa kutoka kwa Kaimu Katibu Mtendaji Baraza la
Michezo la Taifa Bw. Mohamed Kiganja (wapili kulia) wakati wa tamasha la
maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya
Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Wanamichezo kutoka Wizara ya
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya
kushiriki michezo mbalimbali wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea
kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es
Salaam.
Wanamichezo kutoka Mfuko wa
Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), wakijiandaa kushiriki mchezo wa
kuvuta kamba ambapo walishindana na Wanamichezo kutoka Wizara Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha
siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Wanamichezo kutoka Wizara ya
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiwavuta wapinzani wao kutoka
Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) mbalimbali wakati wa
tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika
viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama akikagua timu ya mpira wa miguu kutoka Shule ya
Sekondari Makongo ambao walishiriki tamasha la maadhimisho kuelekea
kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama akipokea fomu ya kujiunga kwa hiari katika Mfuko wa
Hiara wa PSPF kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu
wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake
katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi (katikati mstari wa
mbele) Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja washiriki na
wadau waliondaa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya
wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi wa wanafunzi wakifuatilia
michezo mbalimbali iliyokua ikiendelea wakati wa tamasha la maadhimisho
kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini
Dar es Salaam.
Matukio ya michezo mbalimbali
wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake
katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment