Saturday, 12 March 2016

Kikao cha Baraza Kuu la Chadema Kinaendelea Katibu Mkuu Mpya Kutangazwa Rasmi Leo

Mambo yanaendelea vizuri ukumbini mpaka sasa Katibu Mkuu anayesubiriwa kwa hamu kubwa atatangazwa rasmi leo Endeleeni kuwa na subira

No comments:

Post a Comment