waliofanya madhambi zaidi katika michuano ya kombe la FA
Wakati Chelsea ikivaa Man United na kuifunga bao 1-0 katika mechi ya
robo fainali ya Kombe la FA, Eden Hazard ndiye mchezaji aliyefanyiwa
madhambi zaidi katika michuano hiyo.
Tayari imefika hatua ya nusu fainali lakini Mbelgiji huyo hadi sasa
anaongoza kwa kufanyiwa madhambi akifuatiwa na Wilfred Zaha ambaye timu
yake ya Crystal Palace ilishang’olewa.
No comments:
Post a Comment