TRA imezifungia ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezifungia ofisi za Shirikisho la
Mpira wa Miguu Nchini (TFF) leo na kuamrisha kuacha kila kitu ndani,
hali hiyo imefikiwa kufuatia deni kubwa la kodi wanalodaiwa TFF. Kampuni
ya Yono Auction Mart kwa idhini waliyopewa na TRA walihusika katika
kuzifunga ofisi hizo na kuwataka kutotoka na kitu chochote ndani.
No comments:
Post a Comment