Mafuriko Dar
Mvua kubwa bado inaendelea kunyesha katka maeneo mbalimbali ya jiji la
Dar es salaam na imekua ikisababisha mafuriko na hata foleni za
barabarani ikiwemo kuchelewa kazini na hofu zaidi kwa wazazi wenye
watoto wadogo wanaokwenda shuleni wenyewe.
No comments:
Post a Comment