Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM
na MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB) akingalia burudani ya ngoma ya
Mganda ambayo ilikuwa imeandaliwa kwa ajili ya kumkaribisha katika ofisi
ya CCM Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya kuzungumza na Viongozi wa CCM Mkoa
wa Ruvuma
Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya
CCMna MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB)amemkabidhi kadi ya CCM Bwana
Musa Ndomba ambaye amerudi CCM mwanzo alikuwa mwana chama wa Chadema na
Diwani wa Kata ya Tanga manispa ya songea na mwenyekiti wa wawanafunzi
katika chuo kikuu cha mtakatifu John kilichopo Songea shughuli hiyo
imefanyika katika ukumbi wa ccm mkoa wa Ruvuma
Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya
CCMna MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB)akisaini kitabu cha wageni
katika ofisi ya CCM Mkoa wa Ruvuma wakatialipofika hapo kwa ajili ya
kuongea na viongozi wa ccm mkoa wa Ruvuma kushoto ni Mwenyekiti CCM mkoa
wa Ruvuma Bwana Oddo Mwisho na anaye fuatia ni katibu wa CCM Mkoa wa
Ruvuma Verena Shumbusho
Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM
na MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB)akizungzumza na viongozi wa CCM
mkoa wa Ruvuma katika ukumbi wa CCM Mkoani Ruvuma
Waziri Mkuu yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi
No comments:
Post a Comment