Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia wakazi wa Nyamikoma
Wilayani Busega wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya
ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia wakazi wa Kisesa mkoani
Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi
wa barabara ya Bariadi-Lamadi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia wakazi wa Magu mkoani
Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi
wa barabara ya Bariadi-Lamadi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe magufuli mara baada ya kushuka kwenye kivuko
cha Mv Misungwi wakati akitokea Chato mkoani Geita. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment