Morgan Schneiderlin Atua Everton Kutoka Manchester United
Kiungo mpya wa Everton, Morgan Schneiderlin akisaini mkataba wa miaka minne.
Akiwa na kocha kocha wake wa zamani Ronald Koeman.
Kiungo Morgan Schneiderlin hatimaye amejiunga na klabu ya Everton,
akitokea Man United kwa ada ya paundi milioni 20 ambayo itapanda hadi
paundi milioni 24.
Mfaransa huyo ambaye ana umri wa miaka 27, amesaini mkataba wa miaka
minne na nusu ambao utamalizika mwaka 2021, Schneiderlin ameungana na
kocha wake wa zamani Ronald Koeman.
No comments:
Post a Comment