
Rapper huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo Sumu, alimwambia shabiki huyo kwamba yeye hapaswi kuitwa Mungu kwani Mungu ni mmoja na anategemewa na watu wote.
Fid Q ni mmoja kati ya wasanii wa hip hop ambao wanakubalika na mashabiki wengi wa muziki huo nchini Tanzania

No comments:
Post a Comment