Mke wa Van Persie asema hali ya mmewake ilivyo sasa
Mke wa mchezajiwa Robin Van Persie ambaye saivi anaichezea klabu ya
Fenerbache, Bouchra amesema kwamba mume wake anaelekea kupona kabisa
jicho lake ambalo aliumia wakati wa mechi dhidi ya klabu yake ya
Fenerbache na Akhisar siku kadhaa zilizo pita.
Bouchra alisema, “Kwa sasa yupo poa, mwanzoni alikuwa na muonekano wa bondia!” aliwaambia waa ndishi.
No comments:
Post a Comment