Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata Mbunge wa
Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu kutokana na kushindwa kufika
mahakamani hapo kusikiliza keshi yake.
Hati hiyo imetolewa leo(Alhamisi) na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba
baada ya wakili wa Serikali, Patrick Mwita kuomba mahakama ifanye hivyo.
Pamoja na kwamba mdhamini wa Lissu aitwaye Robert Katula kueleza kuwa
Lissu yuko Mwanza kwa ajili ya kesi nyingine hakimu Sima alitoa kibali
kumkamata.
No comments:
Post a Comment