Monday, 21 November 2016

Hoteli Mwanza yapigwa mnada kulipa mkopo Benki ya CRDB

Hoteli Tai Five imewekwa mnadani kufidia deni baada ya mmiliki kushindwa kulipa mkopo aliokopa Benki ya CRDB.
- Huu ni muendelezo wa Taasisi za Kifedha kupiga minada mali za wamiliki walioshindwa kurejesha mikopo yao.

No comments:

Post a Comment