
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza waombolezaji katika hafla ya
kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai
katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam. Pamoja naye ni Rais
Mstaafu Mze Benjamin Mkapa, Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib
Bilali, Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi John Kijazi na Mama Salma Kikwete leo Novemba 10, 2016 PICHA NA
IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Kaka wa marehemu baada ya
kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na
Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
salaam leo Novemba 10, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji mjane wa marehemu baada ya
kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani
na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
salaam leo Novemba 10, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji mtoto wa marehemu, Jimmy
Mungai, baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa
Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee
jijini Dar es salaam leo Novemba 10, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji mtoto wa marehemu William
Mungai marehemu baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa
aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es salaam leo Novemba 10, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wanafamilia baada ya kutoa heshima
zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee
Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Novemba
10, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wanafamilia baada ya kutoa heshima
zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee
Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Novemba
10, 2016



Sehemu ya familia ya aliyekuwa
Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika hafla ya kuuaga
mwili wa marehemy katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo
Novemba 10, 2016
No comments:
Post a Comment