WaziriI Mkuu Awasili Mkoani Lindi Leo
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa Akipungia Mkono Wakazi wa Mkoa wa Lindi Mara Baada ya kuwasili Mkoani Humo ikiwa Ndio Ziara yake ya kwanza Tangia kuteuliwa kwake.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa Akisalimiana na Waziri wa Habari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo Ambaye pia
ni Mbunge wa Jimbo la Mtama Mhe.Nape Nnauye Mara Baada ya kuwasili Mkoani Lindi.
No comments:
Post a Comment