Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla Ametembelea Uwanja wa Ndege Kilimanjaro(KIA) kujionea Ujenzi wa ya Upanuzi Wa uwanja na Shughuli za Uwanja wa ndege Katika kikao cha Menejimenti ya kampuni ya Uendeshaji Uwanja KADCO Mkuu wa Mkoa Amewapongeza Uongozi kwa kuongeza ndege Zinazotua na kuruka, Uwezo Wakujiendesha kwa kuwa na Mapato Mazuri na Uwezo wa kudhibiti Vitendo Haramu vya Madawa ya kulevya, Usafirishaji nyara za Serikali na Ugaidi Pamoja na Pongezi Hizo Mkuu wa Mkoa ameagiza Yafuatayo yatekelezwe.
Wednesday, 23 December 2015
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Atembelea Uwanja wa ndege Kia na kutoa Maagizo Mazito
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla Ametembelea Uwanja wa Ndege Kilimanjaro(KIA) kujionea Ujenzi wa ya Upanuzi Wa uwanja na Shughuli za Uwanja wa ndege Katika kikao cha Menejimenti ya kampuni ya Uendeshaji Uwanja KADCO Mkuu wa Mkoa Amewapongeza Uongozi kwa kuongeza ndege Zinazotua na kuruka, Uwezo Wakujiendesha kwa kuwa na Mapato Mazuri na Uwezo wa kudhibiti Vitendo Haramu vya Madawa ya kulevya, Usafirishaji nyara za Serikali na Ugaidi Pamoja na Pongezi Hizo Mkuu wa Mkoa ameagiza Yafuatayo yatekelezwe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment