Mtu huyo alijitambulisha kuwa ni Afisa wa TRA,lakini akatuhumiwa kuwa ni Tapeli aliyetaka kufanya tukio la kiuhalifu kwenye Moja ya Maduka yaonekayo Mbele ya Gari Hilo,tukio hilo limetokea hivi Leo Maeneno ya Tabata Segerea. Mtuhumiwa huyo ambaye Jina lake Halikuweza kufahamika Mapema,Amekamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi Tabata Segerea kwa Hatua zaidi za kisheria

No comments:
Post a Comment