Kesi namba 458 yenye makosa 2 inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii
Media, Maxence Melo imetajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu.
Hata hivyo kesi hiyo imeahirishwa hadi tarehe 16 Februari 2017
itakapotajwa tena kwa Hakimu Nongwa kwasababu ya kutokamilika kwa
upelelezi upande wa Jamhuri.
Pichani ni Mkurugenzi wa Jamii Media, @macdemelo (Wa pili kulia) akiwa na Wanasheria na wadau waliofika mahakamani Kisutu leo.
No comments:
Post a Comment