Thursday 13 July 2017

Kuhojiwa kwa Lowassa kwaota mbawa Mpaka Tarehe 20 Julai Mwaka huu

  Image result for edward lowassa awasili polisi
Baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Edward Lowassa  Kurejea Makoa Makuu ya Jeshi la Polisi kwa ajili ya kuhojiwa mahojiano hayo yameelezwa kuhalishwa Mpaka siku ya Tarehe 20 Julai Mwaka huu.

hayo yameelezwa na Wakili wa Chadema Peter Kibatala ambapo amesema  kuwa Hajaambiwa sababu ya kutofanyika kwa Mahojiano hayo leo na kutakiwa kurejea siku ya Alhamisi ijayo 


Tarehe 23 Juni, mwaka huu  Lowassa anadaiwa kutoa Maneno yenye uchochezi alipokuwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Mwita Waitara, Mbunge wa Ukonga.

No comments:

Post a Comment