Rais Magufuli alivyompokea Rais Nkurunziza wa Burundi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe magufuli akiwa
ameambatana na mgeni wake Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza aliewasili
mapema leo katka uwanja wa mpira wa Lemela mjini Ngara,Rais Dkt Magufuli
amempokea Rais Nkurunziza akiwa kwenye ziara yake kikazi mkoani Kagera.
Aidha Rais Nkurunziza baada ya kupokelewa na Mwenyeji wake Rais Dkt
Magufuli,alipata wasaa wa kuwasalimia wananchi mbalimbali waliofika
kumpokea katika uwanja huo wa mpira mjini Ngara.
No comments:
Post a Comment