Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akiingia kweny Bweni alilokuwa
akilala wakati akisoma kidato cha tatu katika shule ya seminari katoke
iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili
mkoani humo, 19 julai 2017
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akimuonyesha Mkewe Mama Janeth
Magufuli kitanda alichokuwa akitumia kulala wakati akisoma kidato cha
tatu katika shule ya seminari katoke iliyopo Biharamulo Mkoani
Kagera,ambapo amemweleza mkewe kuwa alivunja hilo dirisha na mpaka leo
halikutengenezwa ambapo leo hii amekabidhi kiasi cha shilingi milioni
moja ili kukarabati dirisha na madirisha mengine ya shule hiyo, Mh Rais
yupo mkoani Kagera kwa ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akitoka kwenye Bweni alilokuwa
akilala wakati akisoma kidato cha tatu katika shule ya seminari katoke
iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera’.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akiongea na Wanafunzi Shule ya
Seminari Katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye
ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akiwa katika picha ya pamoja
na Wanafunzi Shule ya Seminari Katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera
wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akisalimiana na kuwaaga
Wanafunzi Shule ya Seminari Katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera
wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akipungia vikundi vya
kwaya,ngoma na Burudani alipowasili kwenye viwanja vya stendi ya
Biharamulo tayari kwa kuzindua Barabara ya Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga
yenye urefu wa kilometa 154,Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye
ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017.
Baadhi ya waananchi waliohudhuria
uzinduzi wa Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa
154,wakimsikiliza kwa makini Mh Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Joseph Magufuli, wakati akiwahutubia 19 julai 2017.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja
Jenerali Mustafa kijuu akisoma taarifa ya mkoa wake mbela ya Rais wa
Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,wakati wa
ufunguzi wa Barabara ya Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa
kilometa 154,Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku
mbili mkoani humo, 19 julai 2017.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akihutubia wananchi wa
Biharamulo wakati wa ufunguzi wa Barabara ya Biharamulo,Kagoma
,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,Biharamulo Mkoani Kagera wakati
akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017.
Umati Waananchi waliohudhuria
uzinduzi wa Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa
154,wakimsikiliza kwa makini Mh Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Joseph Magufuli, wakati akiwahutubia 19 julai 2017.
Umati Waananchi waliohudhuria
uzinduzi wa Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa
154,wakimsikiliza kwa makini Mh Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Joseph Magufuli, wakati akiwahutubia 19 julai 2017.
Umati Waananchi waliohudhuria
uzinduzi wa Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa
154,wakimshangilia,Mh Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Joseph Magufuli, mara baada ya kuwahutubia kwenye mkutano wa
hadhara wa ufunguzi wa barabara kwenye viwanja vya stendi ya Biharamulo
19 julai 2017.
Mh Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akiwapungia mkono wananchi
mara baada ya kuwahutubia kwenye mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa
barabara kwenye viwanja vya stendi ya Biharamulo 19 julai 2017.
Mhandisi wa maji wa wilaya ya
Biharamujlo mh Patrice Jarome na Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji Bukoba
Ndugu Allen Marwa wakijibu hoja ya maji mbele ya Mh Rais wa Jamuhuri ya
Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, mara baaada ya
kuelezwa kero ya maji katika mji huo na wao kuahidi ndani ya siku kumi
kufunga mitambo ya maji na kuwasambazia wananchi maji 19 julai 2017.
Mh Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akiwapungia mkono wananchi
mara baada ya kuwahutubia kwenye mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa
barabara kwenye viwanja vya stendi ya Biharamulo 19 julai 2017.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akiondoa kitambaa kwenye jiwe
kuashiria ufunguzi wa ufunguzi wa Barabara ya Biharamulo,Kagoma
,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,Biharamulo Mkoani Kagera wakati
akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akipeana mkono na Waziri wa
Ujenzi na Mawasiliano mara baada ya kufungua Barabara ya
Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,Biharamulo
Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19
julai 2017
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Viongozi wengine akiwemo
Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano wakikata utepe kuashiria ufunguzi
Barabara ya Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa
154,Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili
mkoani humo, 19 julai 2017
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na akiwa ameambatana na mkewe
mama Janeth Magufuli Viongozi wengine akiwemo Waziri wa Ujenzi na
Mawasiliano wakisaimiana na wananchi waliohudhuria ufunguzi Barabara
ya Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,Biharamulo
Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19
julai 2017
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wa wananchi kijiji
cha Nyakahura waliokuwa njiani kumpokea akiwa njiani akielekea Ngara
Mkoani Kagera, 19 julai 2017
No comments:
Post a Comment