Daraja refu kuliko yote Duniani
Daraja lililotundikwa lenye mita 500 linalokisiwa kuwa refu zaidi
duniani limefunguliwa katika mji wa Zermatt nchini Uswizi, Daraja hilo
lenye urefu wa mita 494 kwa jina Europabrucke limetundikwa mita 85 juu .
Bodi za utalii ya Zermatt inasema kuwa ndio daraja refu zaidi duniani
,ijapokuwa daraja la mita 405 mjini Reutte Austria limetundikwa mita 110
juu kutoka ardhini, Daraja hilo linachukua mahala pa daraja jingine
ambalo lilikuwa limeharibiwa na mwamba.
Daraja hilo jipya ambalo ambalo lina uzito wa tani nane limewekwa kifaa
cha ambacho linalizuia kuyumbayumba ,kulingana na bodi ya watalii ya
Zermatt, Daraja hilo lipo kati ya Zermatt na Grachen kusini mwa
Switzerland.
No comments:
Post a Comment