Saturday, 19 November 2016

WHO Yatoa taarifa juu ya ZIKA

Shirika la Afya duniani WHO limetangaza kwamba maambukizi ya ugonjwa unaosababishwa na viruzi vya Zika kutokana na vimelea vya mbu hautibiwi kama tatizo la dharura la kimataifa.
Hatua hiyo ya kuondoa dharura hiyo iliyodumu kwa miezi tisa ni udhihirisho kuwa ugonjwa huo utaendelea kuwepo ambao mashara yake na watoto kuzaliwa wakiwa na ulemavu au vichwa vidogo na ukuaji wa akili.
Kulingana na taarifa na takwimu zilizotolewa na shirika hilo la afya duniani kuwa madhara ya kuzaliwa watoto wenye hitilafu kumezikumba nchi 30 duniani ambapo nchini Brazil zaidi ya wagonjwa 2100 walibainika kuwa na magonjwa yatokanayo na maambukizi ya virusi hivyo vya ZIKA.

No comments:

Post a Comment