
Baada ya matokeo kubainika na Donald Trump kutangazwa kuwa rais wa
Marekani ,California ambalo ni jimbo lenye wafuasi wa chama cha
Democrats cha Hillary Cliton kimeripotiwa kutaka kujiondoa kama mojawapo
ya majimbo nchini Marekani.
Kupitia mitandao ya kijamii wakaazi wa jimbo la Carlifornia wameanzisha
kampeni huku katika mtandao wa Twitter kampeni kwa kauli mbiu #CalExit
kuanzishwa .

No comments:
Post a Comment