Wakili Nyinula Watson Mwakyusa
kushoto toka TAWLA na Msajili wa NGOs kutoka Wizara ya Afya, Mendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wakiendesha kikao cha ushirikiano baina
ya NGOs na Wizara hiyo.
Wadau mbalimbali kutoka Mashirika
yasiyo ya Kiserikali wakipitia nyaraka mbalimbali wakati wa Mkutano wa
Ushirikiano baina ya Wizara ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto na
Mashirika yasiyo ya kiserikali leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Washiriki kutoka
moja ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali wakifuatilia jambo kwa makini
wakati wa Mkutano wa Ushirikiano baina ya Wizara ya Afya, Jinsia, Wazee
na Watoto na Mashirika yasiyo ya kiserikali leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment