Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani akisaini kitabu cha
maombolezo ya kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri, Marehemu
Samuel Sitta nyumbani kwa marehemu jijini Dar es Salaam leo.Mwili wa
marehemu unatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam leo ukitokea nchini
Ujerumani.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani akisalimia na mmoja wa
watoto wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri Marehemu Samuel Sitta baada
ya kuwasili nyumbani kwa marehemu kutoa pole ya msiba huo.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani akisalimiana na aliyekuwa
Mbunge wa Tabora Mjini Ismail Aden Rage alipokwenda kutoa pole nyumbani
kwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri, Marehemu Samuel Sitta.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani akisalimiana na mmoja wa
waombolezaji wa msiba wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri, Marehemu
Samuel Sitta

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani akisalimiana na aliyekuwa
Mbunge wa Tabora Mjini Ismail Aden Rage alipokwenda kutoa pole nyumbani
kwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri, Marehemu Samuel Sitta.
Picha na Hussein Makame, NEC
No comments:
Post a Comment