Friday 14 July 2017

Azam Fc yaanza kujiandaa na ligi kuu bara

Kikosi cha Azam FC, kimeanza mazoezi kwa kasi kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara.
Mazoezi hayo yanafanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex unaomilikiwa na klabu hiyo.
Azam FC imefanya mabadiliko makubwa katika kikosi chake baada ya kuamua kuachana na wakongwe.

No comments:

Post a Comment