Saturday 15 July 2017

ACT-Wazalendo kumekucha




Yeremia Maganja,Kaimu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo,  anatarajia kufanya ziara katika mikoa saba nchini kwa ajili ya kukagua uhai wa chama na maandalizi ya uchaguzi wa ndani ya chama katika ngazi ya mitaa.
Taarifa iliyotumwa na kitengo cha mawasiliano cha ACT-Wazalendo, leo imeeleza kuwa ziara hiyo itaanza Julai 17 na mkoa wa kwanza utakuwa ni Mara.


No comments:

Post a Comment