Mchumi wa nchi hiyo, Gus Faucher, anasema ni hali ya kushangaza kuonekana Dola za Marekani, inashuka thamani hivi sasa
"Nadhani takwimu tulizopata kutoka mkutanoni zinaonyeha vigezo," anasema Faucher, huku wachumi wakieleza shaka yao dhidi ya hali halisi ya sera za Rais mpya, Donald Trump.
Inaelezwa kwamba katika kipindi kifupi kilichopita, tangu Machi mwaka huu, serikali iliongeza kiwango cha riba zake mara tatu.
Pia, katika sura nyingine, inaelezwa kuwa benki zimeendelea kuwa imara katika majukumu yake ya kila siku.
Kwa miaka mingi na katika sehemu nyingi, Dola ya Marekani imekuwa marejeo cha kiwango cha mabadilishano katika fedha za dunia.
Pia, kuna fedha kama za Euro ambazo ni za Jumuiya ya Ulaya (EU) na Paundi za Uingereza, nazo zimeshika nafasi
No comments:
Post a Comment