Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe akizungumza jambo na Spika wa
Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Yustino Ndugai
nyumbani kwake Salasala jijini Dar es salaam, alipokwenda kumjulia hali
leo.
Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe leo Jumatano
03/08/2016 amemtembelea Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Job Yustino Ndugai nyumbani kwake Salasala jijini Dar es
salaam, ambae amerejea hivi karibuni kutoka nchini India ambako
alikwenda kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.
No comments:
Post a Comment