
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA) anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi mkoani humo alfajiri ya leo na anashikiliwa katika Kituo cha Kikuu cha Polisi kwa mahojiano.
Meya wa Jiji la Arusha amethibitisha taarifa hizo. Aidha chanzo cha kukamatwa kwake bado hakijajulikana.
No comments:
Post a Comment