Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizungumza na
Ujumbe kutoka Japani ulipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es salaam kuajadili
fursa mbalimbali zinazopatikana katika sekta ya Miundombinu. Kulia kwake ni
Rais wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akimuonyesha Rais
wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano na ujumbe wake taarifa ya maendeleo ya Miundombinu
nchini, walipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es salaam.

Rais
wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano (wa nne
kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Profesa Makame Mbarawa alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es salaam
kuajadili fursa mbalimbali zinazopatikana katika sekta ya Miundombinu.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akifafanua jambo kwa
Rais wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano, wakati Ujumbe kutoka Japani ulipomtembelea Ofisini kwake
kujadili fursa mbalimbali zinazopatikana katika sekta ya Miundombinu.

Rais wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano wakati Ujumbe kutoka Japani ulipomtembelea Ofisini
kwake kujadili fursa mbalimbali zinazopatikana katika sekta ya Miundombinu.

PICHA NA WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO (W-UUM)
No comments:
Post a Comment