Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya
akizungumza alipokuwa akifungua kikao kazi cha wataalam toka Taasisi za
Udhibiti wa Dawa katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
(EAC) leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) ambayepia ni Mwenyekiti wa Wakuu wa
Taasisi za Udhibiti Dawa Afrika Mashariki Hiiti Sillo akielezea jambo
wakati wa hafla ya ufunguzi wa kikao kazi cha wataalam toka taasisi hizo
leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi
cha wataalam toka Taasisi za Udhibiti wa Dawa katika nchi wanachama wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu wa
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki
Ulisubisya leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya
(katikati) akifuatilia maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TFDA Dkt.
Hiiti Sillo (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha wataalam toka
Taasisi za Udhibiti wa Dawa katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mdhibiti wa Dawa
kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki na Wizara ya Afya nchini Rwanda Alex
Gisagara na Kamishna wa Huduma za Famasi toka Uganda Seru Morries.
Afisa Msajili wa Dawa wa Mamlaka
ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) Dk. Shani Maboko akichangia hoja
wakati wa kikao kazi cha wataalam toka Taasisi za Udhibiti wa Dawa
katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki leo jijini Dar es
Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki
Ulisubisya(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kikao
kazi cha wataalam toka Taasisi za Udhibiti wa Dawa katika nchi
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki leo jijini Dar es Salaam.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO
No comments:
Post a Comment